advertise with us

ADVERTISE HERE

BARCELONA YAMNASA DOGO MWENYE THAMANI ZAIDI YA MBAPPE


Klabu ya Barcelona imefanikiwa kinda wa sao polo ya nchini Brazil. Kida huyo mwenye miaka 19 anafahamika kwa jina la Gustavo Maia na kumwekea thamani ya dollar milioni 348 kwa timu yoyote itakayotaka kumngo'oa kinda huyo ndani ya Barcelona.

Winger huyo ataanzia timu ya vijana Barcelona B na amekwisha saini mkataba wa miaka mitano na klabu hiyo.Barcelona wamekwisha lipa kiasi cha dolar milioni 1.1 na italipia kiasi cha dola milion 4 kwa ajili ya huduma ya mchezaji huyo

Mchezaji huyo alitakiwa kutolewa na kwenda Flamengo lakini dili hilo lilikwama simu uliopita..Mwezi Disemba 2019 alifanikiwa kupata mtoto na kutokana na changamoto mbali mbali alijikuta kwenye kikosi cha Copinha alikocheza michezo 7 na kufunga mabao 3.

Dau alilowekewa mchezaji hyo a klabu ya Barcelona linamfanya kuwa mchezaji mdogo mwenye thamani kubwa.


Post a Comment

0 Comments