Klabu ya Azam haina muda kabisa wa kupoteza ,zikiwa zimesalia wiki nne kwa ligi kuu Tanzania bara kuanza kwa msimu wa 2020/21 baadhi ya klabu kama Simba zikiwaruhusu wachezaji wake kupumzika kwa wiki mbili mambo ni tofauti kwa Azam FC kwani wachezaji wa klabu hiyo wamerejea kambini na kuendelea na mazoezi . Msimu wa 2019/20 azam haijambulia kikombe chochote na kwenye msimamo wa ligi ikishika nafasi ya tatu imedhamiria kufanya mapinduzi kwa msimu ujao ikisajili nyota wapya watano na kuingia kambini kujinoa zaidi Hizi hapa picha za wachezaji wa Azam wakiwa mazoezini
0 Comments