advertise with us

ADVERTISE HERE

YIKPE ATOA NENO KWA BAADA YA KUIFUNGA SINGIDA UNITED


Mshambuliaji wa Yanga raia wa Ivory Coast Yikpe Gnamein amefurahishwa na ushindi walioupata dhidi ya Singida United. Yikpe alifunga bao la tatu kwenye mchezo huo na kuwafaanya Yanga kurejea nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 67. Yikpe alifunguka na kusema 

"Haijilishi watu wanaongelea nini kukuhusu, jambo la msingi zingatia zaidi malengo yako, endelea kufanya jitihada na kumuomba Mungu . . hakika mkono wa bwana utakushika na kukuvusha. Ahsante Mungu kwa neema zako"

Hilo linakuwa ni bao la kwanza kwa mshambuliaji huyo tangu alipojiunga na Yanga dirisha dogo msimu huu.

Post a Comment

0 Comments