BETI NASI UTAJIRIKE

UONGOZI YANGA WATOA MAAMUZI MAZITO KWA KOCHA LUCY EYMAEL


Uongozi wa klabu ya Yanga umelazimika kumfuta kazi kocha mkuu wa klabu hiyo Lucy Eymael baada ya kutoa kauli za kibaguzi na kichochezi kwa mashabiki na viongozi wa timu  hiyo. 

Kocha huyo aliwaita mashabiki wa Yanga ni kama manyani mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Lipuli mchezo uliomalizika kwa Yanga kushinda kwa bao 1-0 .

Mbali na kumfuta kazi uongozi huo umeamua kuhakikisha anaondolewa nchini mapema iwezekano kwani uwepo wake utaibua masuala mengine .

Hii ni barua rasmi ya Uongozi Yanga 


Post a Comment

0 Comments