SPORTPESA YAMWAGA MAMILIONI SIMBA


Mdhamini mkuu wa klabu ya Simba kampuni ya Sport Pesa imekabidhi kiasi cha shilingi milioni 100 kama zawadi kwa klabu hiyo kushida kombe la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2019/20. 

Mwanzoni mwa msimu klabu hiyo iliahidiwa kiasi hicho cha fesha endapo ingeshinda taji la ligi kuu na kutwaa taji hilo kumewafanya kujipata fedha hizo. Klabu ya Simba imekuwa ikifanya vizuri kwa msimu na tarehe 12 Julai itacheza mchezo mkali wa nusu fainali dhidi ya watani wake wa jadi Yanga.

Picha za makabidhiano ya fedha hizo
Post a Comment

0 Comments