Wachezaji wa Simba wamewasili mjini Sumbawanga kwa ajili ya mchezo wa fainali ya FA dhidi ya Namungo FC mcheo utakaopigwa dimba la Nelson Mandela hapo tarehe 1 . Kokosi hicho kiliibuua shangwe kwa mashabiki wake waliojitokea kwa wingi kuipokea timu hiyo iliyowasili alasiri ya leo wakitokea mkoani Mbeya walikoweka kambi kwa siku mbili. Mashabiki wa klabu hiyo waliibua shangwe mara baada ya kumuona mshambuliaji bora msimu huu Meddie Kagere huku wakiigiza namna ya anavyohangilia kila anapofunga. Hizi ni picha za wachezaji wa Simba walipowasili Sumbawanga
Post a Comment
0
Comments
MERIDIAN BET
EURO 2024
Kuanzia tarehe 14 june to 14 july AMOSPOTIXTRA TEAM itakuwa ujerumani kukuletea michuano ya EURO2024
0 Comments