advertise with us

ADVERTISE HERE

SHIBOUB NDANI YA NYUMBA SIMBA IKIJIANDAA KUTWAA UBIGWA LEO JIONI


Klabu ya Simba ik mkoani mtwara kwa mechi ya ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC mchezo utakaopigwa majariwa Stadium jioni ya leo na mra baada ya mchezo huo klabu hiyo itakabidhiwa ubingwa wa ligi kuu mara ya tatu mfululizo.

Mbali na Simba kutwaa Ubingwa huo haikuacha desturi yake ya kufanya mazoezi makali kila inapokwenda kukutana na timu pinzani. Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji wa Simba wakijiandaa kwa mchezo dhidi ya Namungo huku kiungo Shiboub aliyerejea nchini hivi karibuni akijumuika na wachezaji wenzake kwa mazoezi 


Post a Comment

0 Comments