RATIBA :MECHI 10 ZA KUANGALIA HII LEO NA KESHO LIGI KUU TANZANIA BARA


Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea siku hii ya leo ikiwa ni raundi ya 35 ya michuano hiyo. Moja ya mechi muhimu ni ile ya Sinida United dhidi ya Yanga mchezo utakaopigwa dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam. 

Yanga wanahangaika kutafuta nafasi ya pili huku Singida wakicheza michezo yake ya Mwisho baada ya kushuka daraja. Hizi hapa ni baadhi ya mechi zitakazopigwa hii leo
Post a Comment

0 Comments