advertise with us

ADVERTISE HERE

PICHA :JESHI LA EYMAEL LINAVYOISUBIRI KWA HAMU MWADUI FC


Kikosi cha Yanga chni ya kocha eymael kumeendelea na mazoezi makali kujiandaa na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mwadui FC  mchezo utakaopigwa hii leo jijini Dar es salaam. nimekuwekea picha za wachezaji wakijiandaa na mchezo huo muhimu wa ligi
Post a Comment

0 Comments