advertise with us

ADVERTISE HERE

NI KOCHA YUPI ANASTAHILI KUTWAA TUZO YA KOCHA BORA WA MWEZI JUNI


Makocha wanne wa klabu zinazoshiriki ligi kuu Uingereza EPL wametajwa kuwania tuzo ya kocha bora kwa mwezi juni. Makocha wa Machester United,Chelsea ,Wolves na Newcastle waawania tuzo hii . Hizi ni takwimu za makocha hao ila wewe kwa mtazamo wako ani anastahili kutwaa tuzo hiyo kwa takwimu

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Steve Bruce(Newcastle United)
🏟 Mechi 3⃣
✔ Ushindi 2⃣
🤝🏻 1⃣
⚽ Magoli 5⃣
🎯 Magoli ya Kufungwa 1⃣
🇵🇹 Nuno Espirito Santo(Wolves)
🏟 Mechi 5⃣
✔ Ushindi 4⃣
🤝🏻 1⃣
⚽ Magoli 7⃣
🎯 Magoli ya Kufungwa 2⃣
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Frank Lampard(Chelsea)
🏟 Mechi 3⃣
✔ Ushindi 3⃣
🤝🏻 0⃣
❌ Kupoteza 0⃣
⚽ Magoli 8⃣
🎯 Magoli ya Kufungwa 2⃣
🇳🇴 Ole Gunnar Solskjaer(Man United)
🏟 Mechi 5⃣
✔ Ushindi 3⃣
🤝🏻 2⃣
⚽ Magoli 🔟
🎯 Magoli ya Kufungwa 2⃣

Post a Comment

0 Comments