MATOKEO YA MECHI ZA LIGI MBALIMBALI ZILIZOPIGWA JANA ALHAMISI USIKU


Ligi mbalimbali zimeendelea barani ulaya hapo jana usiku huku tukio la kufurahisha kabisa ni Real Marid kutwaa ubingwa wa 34 La Liga. Klabu ya Leicester City na Manchester United zimeendelea kutunishiana misuri baada ya klabu hizo kuibuka na ushindi kwenye mechi zao na kuwafanya wafikishe pointi 62 kwenye msimamo wa ligi.

Haya hapa ni matokeo ya mechi za ligi mbalimbaliPost a Comment

0 Comments