BETI NASI UTAJIRIKE

MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI DUNIANI ALHAMISI TAREHE 09-07-2020


Ligi mbalimbali zimeendelea jana usiku barai ulaya na kushuhudia baadhi ya vilabu mbalimbali vikifanya vibaya ikiwemo Aston Villa anayoitumikia mshambuliaji hatari wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta. Aston Villa imeendelea kukalia kuti kavu baada ya kukubali kipigo cha tatu mfululizo kutoka kwa Manchester United.

Haya hapa matokeo yote ya ligi mbalimbali


Post a Comment

0 Comments