BETI NASI UTAJIRIKE

KITUKO CHA JEZI MPYA YA CHELSEA INAVYOLETA GUNDU NA BARAKA


Klabu ya Chelsea ilimaliza mkataba wake wa kibiashara na wadhamini kampuni ya Yokohama Tyres na kuingia mkataba mpya na kampuni ya simu ya Uingereza iitwayo THREE au 3. Mkataba kati ya THREE na Chelsea ulianza tarehe  1 /7 /2020 na utamalizika tarehe 1/7/2022 

Inasemekana mkataba huu utainufaiha sana klabu hiyo yenye makazi yake Stanford Bridge na inaaminika mkataba wa sasa unaweza kuifanya klabu hiyo kuingiza mkwanja zaidi kuliko Manchester City

KITUKO YA JEZI HIYO 

Mchezo wa kwanza kabisa kwa Chelsea wakiwa na jezi za 3 waliambulia kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Westham,wakishinda mabao 3-0 dhidi ya Watford pamoja na 3-2 dhidi ya Crystal Place lakini wakafungwa tena mabao 3-0 dhidi ya Shiffield United.na matokeo hayo yakawafanya washike nafasi ya 3 kwenye msimamo wa EPL.

Post a Comment

0 Comments