advertise with us

ADVERTISE HERE

KINA SAMATA WAMETUZINGUA TENA WAAMBULIA KICHAPO KWA LIVERPOOL


Klabu ya Aston Villa imekubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Liverpool kwenye mchezo wa ligi kuu Uingereza. Mabao ya Liverpool yalifungwa na  Sadio mane dakika ya 71 na Curtis Jones dakika ya 89.

Mchezo huo uliopigwa dimba la Anfield ulimshuhudia Mbwana Samatta akitokea benchi dakika ya 74 lakini alishindwa kuinusuru Aston Villa na kipigo . Kwa matokeo hayo Aston Villa inabaki nafasi ya 18 ikiwa na pointi 27 kwenye msimamo wa ligi Uingereza huku ikiwa na michezo mitano muhimu inayopaswa kushinda ili kutoshuka daraja 

Post a Comment

0 Comments