HAWA HAPA NYOTA 30 WANAOWANIA TUZO ZA MCHEZAJI BORA VPL JE NANI ANASTAHILI


Shirikisho la soka Tanzania TFF limetangaza majina 30 yanayowania tuzo za mchezaji bora msimu wa 2019/20 na sherehe kamili zitafanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam tarehe 7 mwezi August. Haya hapa majina yanayowania tuzo hiyo


I

Post a Comment

0 Comments