Baada ya kuvuja tetesi za kuachwa kwa beki wa klabu ya Yanga raia wa Kenya Faroukh Shikhalo hatimae taarifa hizo zimethibitishwa leo baaa ya klbu hiyo kuigia mkataba na aliyekuwa kipa wa Kagera Sugar Ramadhani Charamanda .
Chiramanda amekuwa kwenye kiwango kizuri msimu huu na klabu ya Yanga imeona ni wakati sahihi wa kumnasa baada ya Farouk Shikhalo kuwa chini ya kiwango msimu akiwekwa benchi na kipa Metacha Mnata.
Kipa Chiramanda ameonekana ameshika mktaba wa Yanga na inaonyesha amesaini dili nono huku ikiwa bado haijawekwa wazi ni kiasi gani atakuwa akilipwa kwa mwezi huku thamani halisi ya mkataba wa kumng'oa kutoka Yanga ikiwa imewekwa Siri kwa pande zote mbili Kagera Sugar na Yanga
0 Comments