Majibu ya beki wa kulia wa klabu ya Simba Shomari Kapombe bado ni utata kwa sasa . Mchezaji huyo aliumizwa kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya Azam mchezo uliopigwa tarehe 01 Julai. Mchezaji huyo alitolewa uwanjani na kuibua sintofahamu kuhusu hali ya majeraha lakini hapo jana asubuhi alipekwa hospitari kufanyiwa vipimo vya MRI ili kujua ni eneo gani limekumbwa na changamoto. Vipimo vya mchezaji huyo bado havijatolewa na kuna uwezekano akaukosa mchezo dhidi ya Yanga hapo tarehe 12. Shomari amekuwa na kiwango kizuri msimu huu akiimudu vyema beki ya kulia huku aisaidia kwenye ushambuliaji. Baadhi ya picha za mchezaji huyo akiwa hospitali
Post a Comment
0
Comments
MERIDIAN BET
EURO 2024
Kuanzia tarehe 14 june to 14 july AMOSPOTIXTRA TEAM itakuwa ujerumani kukuletea michuano ya EURO2024
0 Comments