advertise with us

ADVERTISE HERE

HABARI NJEMA KWA YANGA KUELEKEA MCHEZO NA SIMBA

Wachezaji wa kikosi cha Yanga wameendelea na mazoezi makali mkoani Kagera kuelekea mchezo wa nusu fainali FA  dhidi ya Simba siku ya jumapili. Inaelezwa Yanga watarejea leo jioni kwa ajili ya mchezo huo muhimu. Kiungo Niyonzima na Lamine Moro wameonekana wakifanya mazoezi na wanategemewa kuwepo kwenye mchezo huo. 

Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji Yanga wakifanya mazoezi mkoani Kagera





Post a Comment

0 Comments