Ligi mbalimbali zimeendelea hapo jana jumanne tarehe 14 Julai.Klabu ya Chelsea imeendelea kujiimarisha nafasi ya 3 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Norwich. huko Serie A mambo yalikwenda vyema kwa Atlanta baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 6-2 dhidi ya Brescia.
Haya hapa matokeo ya mechi nyingine
0 Comments