BETI NASI UTAJIRIKE

PICHA :SIMBA WALIVYOLISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM

Klabu ya Simba SC hapo jana asubuhi iliwasili kutoka mkoani mtwara wakiwa na kombe la ligi kuu Tanzania bara walilotwaa kwa msiu wa 2019/20. Hili linakuwa ni kombe la tatu mfululizo kwa klabu hiyo kutwaa kombe hilo. Mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere waheaji na uongozi wa klabu walilakiwa na kundi kubwa la mashabiki walioanza maandamano kutoka Airport mpaka Msimbazi Kariakoo.

Hivi ndivyo klabu ya Simba ilivyopokelewa na mashabiki wake







Post a Comment

0 Comments