advertise with us

ADVERTISE HERE

ARSENAL YAPIGA MTU 4G YATANGAZA KUREJEA TOP 4


Ligi kuu nchini Uingereza iliendelea hapo jana kwa mechi mbalimbali ukiwemo ule wa Arsenal dhidi ya Norwich . Arsenal wakiwa dimba la Emirates waliisambaratisha Norwich mabao 4-0 . Pierre Aubemayang akifunga mabao mawili dakika ya 33 na 67,Xhaka akifunga dakika ya 37 na Soares akifunga dakika ya 81.

 Matokeo hayo yameifanya Arsenal kufikisha pointi 46 kwenye michezo 32 waliyocheza wakishuka kutoka nafasi ya 10 mpaka ya 7. Tangu kurejea kwa ligi kuu Uingereza Arsenal imecheza michezo minne ikishinda miwili na kufungwa miwili.

Kikosi ch Arsenal kilichoanza hii leo ni 

Post a Comment

0 Comments