Timu hizi zinaongozana kwenye msimamo wa ligi Azam wakiwa nafasi ya pili na pointi 57 huku Yanga akiwa na pointi 55 akiwa nafasi ya 3.Matokeo ya mechi ya hii leo yana manufaa kwa vilabu vyote viwili.
Mchezo huu utaruka live kupitia Azam Tv hivyo jisogeze kwenye runinga yako jioni ya leo uweze kuona live mtanange huu
0 Comments