YANGA WAACHANA NA KATIBU MKUU DKT LUHANGO


Uongozi wa klabu ya Yanga umefika makubaliano ya kusitisha ajira ya  Dr.David Luhago aliyekuwa Katibu Mkuu wa klabu hiyo.Taarifa rasmi iliyotolewa na uongozi wa Yanga imeeleza kuwa wamekubaliana kusitisha nafasi yake ya kazi kuanzia  Juni 15.

Kamati ya Utendaji ya Yanga iliyo chini ya Mwenyekiti wa Klabu hiyo Dr, Mshindo Msolla imemshukuru kiongozi huyo kwa ushirikiano wake.


Post a Comment

0 Comments