BETI NASI UTAJIRIKE

TFF WATOA HATMA KWA MECHI ZA KIRAFIKI



Hatimaye shirikisho la soka Tanzania (TFF) limefikia muafaka na vilabu vya Simba ,Yanga,Azam na Transit Camp kuhusu hatima ya vilabu hivyo kucheza mechi za kirafiki. Awali shirikisho hilo lilisitisha mechi za kirafiki kutokana na vilabu hivyo kutofuata maelekezo ya wataalamu ikiwemo kukaa umbali wa mita moja kati ya shabiki mmoja na mwingine ili kuzuia maambukizi mpya ya Covid 19

Viongozi wa Azm,Simba,Yanga na Transit camp walifika ofisi za TFF ilala Karume kwa ajili ya kujitetea kushindwa kutimiza ahadi n maelekezo waliyopewa na wizara ya afya . Kupitia barua Rasmi shirikisho hilo lilisema 


Post a Comment

0 Comments