advertise with us

ADVERTISE HERE

TAMBO ZA MOHAMMED DEWJI BAADA YA KUTWAA UBINGWA


Mwekezaji na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Bw.Mohammed Dewji amefurahishwa na kiwango kizuri kilichooneshwa na klabu hiyo baada ya kutwaa Ubingwa wake wa tatu mfululizo. Dewji amekuwa akiitaka timu hiyo kufanya vizuri ligi ya ndani na  kimataifa amenukuliwa akisema 

"Angurumapo SIMBA cheza nani? Three-peat (Simba Bingwa, mara ya 3 mfululizo)! Let’s focus in the the Africa Champions League. Safari inaendelea Insha’Allah"

Malengo makubwa ya Mwekezaji huyo ni kuiona Simba ikifika fainali na kkutwaa kombe la Africa na anaamini msimu wa 2020/21 Simba itafanya vizuri zaidi na kutwaa kimataifa na hatimae kutwaa Ubingwa wa Africa.

Post a Comment

0 Comments