BETI NASI UTAJIRIKE

SEVILLA YAANZA KWA KISHINDO LA LIGA , RATIBA YA MECHI ZA LEO HII HAPA


Klabu ya Sevilla imerejea kwa kishindo ligi kuu nchini Hispania maarufu kama La Liga baada ya kushinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Real Betis. Ligi hiyo imerejea rasmi baada ya kusimama kwa kipindi cha miezi mitatu kutokana na janga la Corona na mchezo huo wa kwanza kwa La Liga tangu kurejea kwake umeibua shangwe kwa mashabiki wanaofuatilia La Liga 

Sevilla walipata bao la kwanza dakika ya  56 kupitia kwa Lucas Ocampos aliefunga kwa mkwaju wa penati huku Fernando akifunga bao la pili dakika ya 62 . Matokeo hayo yanaifanya Sevill kubaki nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi ikiwa imecheza michezo 28 na kujikusanyia pointi 50. Na mchezo huo ulipigwa bila mashabiki

Hii hapa ratiba ya mechi zitakazopigwa jioni ya leo


Post a Comment

0 Comments