Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba, Senzo Mbatha amesema kuwa Klabu ya Simba haina wakala ambaye inafanya naye kazi kwenye Usajili na ameongeza kuwa Klabu yao haina cheo cha Rais bali ina Mwenyekiti Bodi (Mo Dewji) na mtendaji mkuu wa klabu.
.
-CEO Senzo amesema anaisubili kwa hamu klabu ya Yanga iende kuishitaki Simba kwenye shirikisho la mpira duniani (FIFA) ili wakajue ukweli ni upi. Pia mtendaji huyo amemwambia nyota wa klabu ya Yanga Benard Morrison kuwa makini na kauli zake zinaweza kumponza.
0 Comments