Schalke 04 wapo nafasi ya 9 wakicheza michezo 31 na kupata pointi 39 tu huku wakishinda michezo 9 sare 12 na kufungwa michezo 10 wamejikuta wakifanya vibaya zaidi tangu Bundesliga kurejea kutokana na kusimama kwa sababu ya janga la corona.
Ligi hiyo ilirejea tarehe 16 mei 2020 na Schalke ikiwa nyumbani iliambulia kupigwa mabao 4-0 michezo mitano iliyofuata imeambulia vipigo na sare
Kwenye michezo 6 waliyocheza wamefungwa mabao 12 huku wakifunga mabao 3 tu.Ajabu ni kwamba mbali na kufanya hovyo msimu huu lakini wapo nafasi ya 9
0 Comments