BETI NASI UTAJIRIKE

REAL MADRID YAZIDI KUUKARIBIA UBINGWA LA LIGA


Klabu ya Real Madrid imezidi kujiimarisha kutwaa Ubingwa wa La Liga kwa msimu wa 2019/20 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Espanyol.Bao hilo ilifungwa na kiungo Casemiro kweye dakika za nyongeza kipindi cha kwanza. Ushidi huu unaifanya Real Madrid kuongoz ligi hiyo ikiwa na pointi 71 kwenye mechi 32 ilizocheza huku Barcelona akiwa nafasi ya 2 akiwa na pointi 69. 

Klabu hiyo inalazimika kushinda michezo yote 6 iliyobaki ili kujihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa huo kwa mara ya kwanza  baada ya kuutwaa mara ya mwish msimu wa 2016/17. 

Real Madrid imekuwa na msimu mzuri na imekuwa ikipata matokeo mazuri kwa siku za hivi karibuni.Kiwango cha ufungaji wa mabao kwa Karim Benzema kimezidi kuimarika baada ya kufunga mabao 17 akiwa nyuma ya Messi mwenye mabao 21.

Kikosi cha Madrid kilichanza dhid ya Esanyol ni :Couritous,Carvajal,Ramos,Marcelo,Valverde,Casemiro ,Kroos,Hazard ,Isco na Benzema



Post a Comment

0 Comments