Ligi mbalimbali zinaendelea kuchezwa usiku wa leo huku Manchester United ikivaana na Tottenham Hotspurs mchezo utakaopigwa majira ya saa 10: 15 usiku. Mara ya mwisho timu hizi kukutana Manchester United aliibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Timu zote mbili zinaiwinda nafasi ya nne bora huku manchester united ikiwa nafasi ya 5 kwa pointi 45 na Tottenham ipo nafasi ya 7 ikiwa na pointi 41.
Hizi hapa mechi nyingine zitakazopigwa leo
0 Comments