BETI NASI UTAJIRIKE

PICHA : MORRISON ALIVYOJISALIMISHA KWA UONGOZI WA YANGA



Winga wa klabu ya Yanga SC raia wa Ghana, Bernard Morrison leo amefika Makao Makuu ya Klabu hiyo na kufanya mazungumzo na Kaimu Katibu Mkuu, Adv. Simon Patrick.

Morrison, amewaomba radhi wanayanga wote kwa Usumbufu uliojitokeza kuhusu yeye na ataungana na kikosi Juni 18 kujiwinda na mechi dhidi ya Azam FC huku akieleza sababu kubwa ya kulichotokea ni kupata maumivu kwenye kidole, hali iliyomfanya kushindwa kuvaa viatu na hivyo kukosekana mazoezini kwa siku kadhaa na kushindwa kusafiri na timu kwenda shinyanga kisha Dodoma na pia wakati wa safari alianza kushughulikia matatizo ya kifamilia ambayo hakutaka kuyaweka wazi.

Post a Comment

0 Comments