MAZOEZI YA WACHEZAJI SIMBA YAGEUKA GUMZO MBEYA


Klabu yaSimba SC imeendelea na mazoez makali uelekea mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Prisons. Simba anahitaji pointi 3 tu ili aweze kutangazwa bingwa mpya wa Ligi kuu Vodacom kwa mara ya tatu mfululizo.

Simba wanahitaji pointi hizo 3 kutoka kwa Prisons mechi itakayochezwa hapo kesho.Kam Simba atashinda mchezo huo basi atatangazwa Bingwa akiwa jijin Mbeya.Simba wamefanya mazoezi makali mno kiasi cha kdhani wanakwenda kuanza ligi kumbe wanamaliza.

Haya ni maandalizi ya Simba dhidi ya Prisons


Post a Comment

0 Comments