LA LIGA WATOA TAARIFA RASMI MKATABA MPYA NA YANGA


La Liga wametoa taarifa rasmi kuhusiana na mkataba wa kihistoria  waliosaini na klabu ya Yanga siku ya jumapili mei 31 jijini Dar es Salaam. Mkataba huu unalenga kuisaidia klabu ya Yanga kufanya mabadiliko yake ya kiuongozi kutoka mfumo wa kumilikiwa na wananchi na kwenda kwenye mfumo wa kisasa .

Hii hapa ni barua rasmi ya La Liga kwenda kwa wananchi Post a Comment

0 Comments