BETI NASI UTAJIRIKE

HIZI SASA SIFA KWA SIMBA YASHINDA TENA MABAO 5-0 LEO ASUBUHI



Klabu ya Simba Sc leo asubuhi imeendeleza ubabe mpaka kwenye mechi za kirafiki dhidi ya African lyon.klabu hiyo iliyoshinda mabao 3-0 dhidi ya mwadui fc hapo jana kwenye Mchezo wa ligi kuu leo asubuhi imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya African Lyon

Mchezo huo umepigwa dimba la uhuru wakati Simba ikijiandaa kusafiri kuelekea Mbeya kwa michezo dhidi ya Mbeya city na prisons. Magoli yalifungwa na 

⚽️ Ibrahim Ajibu 25’, 30’
⚽️ Tairone Santos 28’
⚽️ Mzamiru Yassin 32’
⚽️ Deo Kanda 87’

Hizi hapa picha za mechi hiyo











Post a Comment

0 Comments