advertise with us

ADVERTISE HERE

HILI LA MORRISON BADO KIZUNGUMKUTI, YANGA WATOA UFAFANUZI


Uongozi wa klabu ya Yanga umekanusha kauli iliyotolewa na mshambuliaji wa klabu hiyo Benard Morrison baada ya mchezaji kusema hajasaini mkataba mpya na klabu hiyo na kwamba mkataba wake unamalizika mapema mwezi ujao. Uongozi wa klabu hiyo umepinga kauli hiyo na umemuadhibu faini ya shilingi milioni 1.5 mchezaji huyo kwa kosa la kufanya mahojiano na wanahabari bila kufuata utaratibu maalumu.

Barua ya Yanga


Post a Comment

0 Comments