Wakati ligi mbalimbali duniani zikijiandaa kurejea upande wa Ujerumani mambo yamezidi kuchanganya,wikiendi iliyopita Bundesliga imefikisha raundi ya 5 baada ya kutoka Lock Down kwa sababu ya covid 19
Michezo mbalimbali imechezwa siku ya jumamosi na jumapili na haya ni matokeo ya mechi hizo .
Huu hapa ni msimamo wa Bundesliga
0 Comments