advertise with us

ADVERTISE HERE

AZAM YAREJEAKWA KISHINDO MBIO ZA UBINGWA LIGI KUU


Klabu ya Azam imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbao FC kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara mchezo uliopigwa dimba la Chamazi jijini Dar es salaam.

Azam walijipatia bao la kwanza kupitia Richard Djodji dakika ya 49 kipindi cha pili kabla Salumu Chilunda kufunga bao lililokamilisha ushindi dakika ya 90. 

Kwa matokeo hayo azam anafikisha pointi 57 kwenye michezo 29 aliyocheza nyuma ya mabingwa watetezi Simba SC wenye pointi 72 baada ya kutoka sare na Ruvu shooting mchezo uliopigwa hii leo jion.

Post a Comment

0 Comments