advertise with us

ADVERTISE HERE

WACHEZAJI YANGA WAANZA MAZOEZI KWA KISHINDO


Wachezaji Yanga wameanza mazoezi rasmi kuelekea michezo ya ligi kuu Tanzania inayorejea tarehe 13 Juni mwaka huu. Yanga wanaongozwa na Mkwasa baada ya kukosekana kwa kocha mkuu Eymael aliyepo Ubelgiji.

Mkwasa ameongoza mazoezi hayo yanayofanyika katika viwanja vya chuo cha sheria jijini Dar es Salaam. Haya yanakuwa ni mazoezi ya pamoja tangu rais magufuli aruhusu michezo kurejea.

Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji hao wakiwa mazoezini





Post a Comment

0 Comments