Kuelekea kipute cha mtanange wa ligi kuu Ujerumani Bundesliga mchambuzi maarufu Amos Medeck ameonekana kuiunga mkono Bayern Munich kuelekea mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Borrusia Dortmund mchezo utakaopigwa dimba la Signal Iduna park
Nini maoni yako kuelekea mchezo huo utakaopigwa saa moja jioni
Huu hapa uchambuzi kamili tazama hii video
0 Comments