advertise with us

ADVERTISE HERE

MAMBO MAZURI YAZIDI KUNUKIA YANGA, KIONGOZI AELEZA WALIPOFIKIAKlabu ya Yanga inajiandaa kusaini mkataba na La Liga chini ya mwakilishi Carraca Antonio. Mkataba huo wenye lengo la kubadili mfumo wa kiuendeshaji wa klabu ya Yanga unategemewa kuwa na manufaa kwa pande zote mbili.

Msemaji wa klabu hiyoBwana Antonio Nugaz amefunguka ulipofikia mchakato huo kwa sasa "Kwa kuzingatia hili tulimchagua La Liga kuwa mshauri,tunaamini kwamba anasifa zinazotufanya kufika mbali kwenye mabadiliko. 

Aliwataka mashabiki na wanachama kutoa ushirikiano ili ndoto za kuibadilisha Yanga zifanikiwe kw urahisi" Vitu vingi vitaathiriwa tunapokwenda kwenye mabadiliko katika suala la usimamiziwa klabu, idara ya masoko na idara nyingine

"Wote tufanye kazi kwa kushirikiana na mwenyekiti etu Dkt Mshindo Msolla ili tufike katika nchi iliyoahidiwa kwa urahisi na kuruhusu  michakato ianze mapema 

Post a Comment

0 Comments