BETI NASI UTAJIRIKE

UONGOZI SIMBA KUPAMBANA NA MATAPELI



Inafahamika kuna baadhi ya watu au makundi ya watu yamekuwa yakiingia makubaliano na Taasisi au kampuni nyingine wakijiwasilisha kama wafanyakazi au wawakilishi wa kampuni ya klabu ya Simba

Uongozi wa Simba umetoa tahadhari kwa wadau wake kuwa makini na watu hao kwani mikataba na makubaliano yanayoihusu klabu ya Simba lazima yafanyike ofisi za klabu hiyo

Post a Comment

0 Comments