Mapema leo Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao wakati akihojiwa na EA radio alisema msimu wa ligi unaweza kwenda mpaka Juni 30 kutokana na janga la virusi vya Corona
TFF imetoa ufafanuzi zaidi kuwa kama Corona itakuwa bado ni changamoto baada ya Juni 30, Kamati ya Utendaji itafanya maamuzi kuhusu hatma ya msimu huu
0 Comments