Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga imeteuwa wajumbe wawili kujaza nafasi za Wajumbe waliojiuzulu nafasi zao wiki iliyopita
Aidha Kamati hiyo imemteua Hamad Islam kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano na Dominic Albinus kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi
0 Comments