BETI NASI UTAJIRIKE

WANYAMA AMKIMBIA SAMATTA UINGEREZA AMFUATA THIERY HENRY


Kiungo wa kati wa Tottenham Victor Wanyama anajiandaa kujiunga na Montreal Impact baada ya Spurs kufikia mkataba na klabu hiyo ya MLS.Wanyama, 28, ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Kenya ameiwakilisha Spurs mara nne tu msimu huu.
"Tunamtakia Victor kila la heri," klabu hiyo ya ligi ya ligi ya Premia.Impact, ambayo mkufunzi wake ni nyota wa zamani wa Arsenal Thierry Henry, iliinyuka New Engand Revolution mabao 2-1 katika mechi ya ufunguzi wa msimu mpya wa MLS siku ya Jumamosi.
Klabu hiyo ya Canada ilimaliza katika nafasi ya tisa msimu wa 2019, baada ya kushindwa kufuzu kwa raundi ya muondoano.Wanyama alikuwa kiungo muhimu wa Spurs alipotua Southampton Juni 2016, ambapo aliichezea mara 47 katika mashindano yote na kuifanya klabu hiyo chini ya ukufunzi wa Mauricio Pochettino kuibuka ya pili nyuma ya Chelsea katika Ligi kuu ya Premia.
Lakini jaraha la goti alilopata msimu uliofuata, na tatizo la goti lililomuandama msimu wa 2018-19, liliathiri mchezo wake Spurs, hali iliyomlazimu kucheza mechi 24 tu katika mashindano yote.
Spurs iliakuba kumuuza Wanyama kwa euro milioni 13.6 klabu ya Ubelgiji ya Bruges na mwezi Agosti lakini uhamisho huo uligonga mwamba kabla ya muda wa mwishowa uhamisho wa wachezaj

Post a Comment

0 Comments