Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefafanua kuwa kauli iliyotolewa na Rais wa Shirikisho hilo Wallace Karia kuhusu klabu za VPL kutakiwa kutumia fedha zinazotokana na shughuli za mpira tu, ililenga timu zinazopanda daraja ili kuziwezesha kuwa na matumizi sawa na bajeti zao
0 Comments