BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA YAMPOTEZA MJUMBE WAKE,MO DEWJI ATOA SALAM ZA RAMBI RAMBI



Klabu ya Simba SC imepatwa na pigo jingine baada ya aliyekuwa mjumbe wa kamati uchaguzi Bw.Idd Mbita kufariki leo alfajiri.Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba ameandika kwenye ukurasa wake 

"Pumzika kwa amani mpendwa wetu Iddi. Tumesoma pamoja Arusha School, urafiki wetu tukaurithisha hadi kwa watoto wetu kuwa marafiki na sisi kuendelea kufurahia mechi za Simba pamoja. Pumzika kwa amani rafiki yangu, nasi tuko njiani.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un-Mohammed Dewji


Post a Comment

0 Comments