BETI NASI UTAJIRIKE

MCHEZAJI MWINGINE AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA



Klabu ya Juventus ililazimika kufunga kituo chao cha maoezi baada ya mchezaji wa pili kutoka klabu hiyo kukutwa na maambukizi ya Corona . Awali beki wa klabu hiyo na timu ya Taifa Italy Daniel Rugani alikutwa na mambukizi na kuondolewa kambini hapo . 

Hpo jana Kiungo wa Ufaransa na Klabu hiyo Blaize Matuidi alikutwa na maambukizi ya COVID-19 hali iliyomlazimu kuwekwa karatini na baadaye kurudishwa nyumbani. Uogozi wa Juventus ulinukuliwa ukisema


'Mchezai wetu alitengwa na kupelekwa nyumbani tangu jumatano ya machi 11na kwa sasa anaendelea vizuri."

Wachezaji wa Juventus wamewekwa kwenye uangalizi maalumu kufuatia visa hivyo huku mchezaji Cristiano Ronaldo alioma kureje mazoezini klabuni hapo. Matuidi ,Rugani na wachezaji wa Fiorentina ,Genoa ni moja ya waathirika wengi wenye waathitika wa Corona.

Ripoti zimeendelea kuonyesha kwamba nchi ya Italy ina waathirika 31,000 huku waliofariki mpaka jana wakiwa 2,503

Post a Comment

0 Comments