advertise with us

ADVERTISE HERE

MAPYA YAIBUKA UBINGWA WA LIVERPOOL MSIMU WA 2019/2020


E

Mchezaji wa zamani wa Newcastle United ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa soka kwenye kituo cha www.skysports.com anaamini klabu ya Liverpool haistahili kutwaa kombe la ligi kuu Uingereza. Alan shearer amenukuliwa akisema klabu hiyo haipaswei kukabidhiwa kombe kwa sababu msimu haujamalizika.

 Kwa upande mwingine Liverpool inahitaji pointi 6 tu ili watangazwe kuwa mabingwa wapya wa Premier League lakini kusimama kwa ligi hiyo kunawafanya wasubiri mpaka pale hali ya shwari itakapotangazwa kuhusu virusi vya COVID-19 na wao kucheza michezo hiyo miwili na kushinda 

Shearer amenukuliwa akisema "Kama msimu hautamalizika basi hakuna mshindi wala aliyefungwa,ni mapema mno kuwapa kombe hata kama wanaongoza pointi 25 dhidi ya Manchester city, ni lazima wamalize michezo yote ndiyo wapewe kombe hilo"

Post a Comment

0 Comments