BETI NASI UTAJIRIKE

KUMBE KOFFI OLOMIDE NI SHABIKI WA SIMBA NA ATASHIRIKI MCHEZO DHIDI YA YANGA



Klabu ya Simba imezindua rasmi matumizi ya kadi za wanachama. Shughuli nzima ilifanyika jana jioni katika hotel ya serena hoteli na ilihudhuliwa na mashabiki mbalimbali wa klabu hiyo huku wakipewa burudani na msanii mkongwe wa rhumba mkongomani Koffi Olomide 
imeelezwa Mashabiki wenye kadi za Simba wanaweza kuzitumia kadi hizo kama ATM cards laini pi wanaweza kuzitumia kwa malipo ya mitandaoni . Hizi ni baadhi ya picha za shughuli za uzinduzi wa kadi hizo za mashabiki.

Taarifa zinasema Koffi Olomide ni shabiki wa Simba na inasemekana amechukua kadi ya uanachama wa klabu hiyo huku pia akitarajiwa kuwa mgeni rasmi kutoka Simba kwenye mpambano kati ya Simba na Yanga utakaopigwa kesho uwanja wa taifa 








Post a Comment

0 Comments