Kuna taarifa inasambazwa mitandaoni ikihusiswa klabu ya Njombe mji kuuzwa baada ya uongozi uliopo madarakani ushindwa kuiendesha . Lakini pia taarifa nyingine kutoka kwa Kaini Nyigu ilisema
Uongozi wa Timu ya Njombe mji Fc ya mkoani Njombe inayoshiriki ligi daraja la Kwanza kunako kundi A, Unapenda kuwaalika waandishi wa habari za michezo Katika viwanja vya Sabasaba hapa mkoani Njombe majira ya saa Saba 7 mchana.
Agenda kubwa itakuwa ni Kutangaza nafasi ya Kuiuza Timu yetu kwa Mdhamini au Mwekezaji kwani Timu yetu kwa sasa inataraji kuingia katika mfumo wa Soka la Kisasa.
Hivyo tunawaalika waandishi wote wa Habari wafike mapema na Mkutano utaanza saa 7:00 mchana... Imetolewa na.....
Kaini Nyigu,
Afisa Habari Njombe Mji Fc
21-03-2020
Tutakuletea taarifa kamili kuhusu timu hiyo
0 Comments